Pre GE2025 Odero: Leo hii Mbunge akisimama kuzungumza Bungeni jambo la kwanza ni kumshukuru Rais kwa kuleta Fedha, Fedha za umma zimegeuka Mali za Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani hotuba anaijaza shukrani lukuki kuliko hoja za msingi.

====

“Leo hii Mbunge akisimama kuzungumuza Bungeni jambo la kwanza ni kumshukuru Rais kwa kuleta Fedha, Fedha za umma zimegeuka Mali za Rais, na wabunge wanaongea hivyo wale ambao hawakupigiwa kura na wanachi walipitishwa kwa kura feki” ODERO C ODERO

Your browser is not able to display this video.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

 
Chawaism tatizo linalokuja kwa kasi
 
Hicho ndicho walichokubaliana kukifanya katika magroup yao ya whatsup......!!!!
 
CHADEMA ina watu wana akili sana na wanaoliwazia mema sana Taifa letu.

Sasa huyu alipata kura moja tu ila ana akili kushinda Makamu Mwenyekiti wa CCM na safu yake yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…