Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani.
Akaongeza kwa kusema kuwa alishawahi kushauri CHADEMA kupeleka wanawake mia tano wakiwa vifua wazi mbele ya nyumba ya Spika wa Bunge kama form ya maandamano
"Wakati ule bunge linaendelea Dodoma nilisema tupeleke wanawake 500 asubuhi na mapema kwenye makazi ya Spika wa Bunge la Tanzania asubuhi na mapema anafungua tu mlango anakuta wanwake ambao kwa hasira yao wamevaa wameacha maziwa yao nje"