Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Acha matusi dogoakaridhiane na mke wake maana nchi kwasasa haina Rais aliechaguliwa ilitakiwa apatikane Rais kwanza ndio turidhianenae huyo mama wanu manyonyo makubwa hatumtambui sisi
Na wakifanya madhiriano mbowe anarejea rasmi chamaniImeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa kutambua kuwa msingi wa kuanzishwa kwa chama hicho ni kupigania demokrasia Kwa njia ya amani jambo ambalo linamaanisha uwepo wa 'mazungumzo'
Hayo yameelezwa na Kada wa chama hicho Odero Charles Odero ambapo katika maelezo yake amesema kwa sasa yeye binafsi amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi viongozi na wanachama wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wake kuanza mchakato wa maridhiano kwaajili ya kuliponya Taifa
kuna alietukanwa hapo? mtaje jina lake., ccm ni sawa na walking deadAcha matusi dogo
....ila njaa mbaya sana ikifika kichwani......huyu ndio alikuwa anagombea uenyekiti taifa...asee hapa chadema wangejua hawajui....hapa walikuwa wanauzwa asubuhi kabisaImeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa kutambua kuwa msingi wa kuanzishwa kwa chama hicho ni kupigania demokrasia Kwa njia ya amani jambo ambalo linamaanisha uwepo wa 'mazungumzo'
Hayo yameelezwa na Kada wa chama hicho Odero Charles Odero ambapo katika maelezo yake amesema kwa sasa yeye binafsi amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi viongozi na wanachama wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wake kuanza mchakato wa maridhiano kwaajili ya kuliponya Taifa
On my way to "lamba asali"Imeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa kutambua kuwa msingi wa kuanzishwa kwa chama hicho ni kupigania demokrasia Kwa njia ya amani jambo ambalo linamaanisha uwepo wa 'mazungumzo'
Hayo yameelezwa na Kada wa chama hicho Odero Charles Odero ambapo katika maelezo yake amesema kwa sasa yeye binafsi amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi viongozi na wanachama wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wake kuanza mchakato wa maridhiano kwaajili ya kuliponya Taifa
alishahamia artel zamani huyo...hata watu wa artel ndio wanamtumia kama chawa wao kwa vazi la vodacomOn my way to "lamba asali"
Hapo anatuandaa kisaikolojia ili siku akihamia airtel awe na kisingizio