Kenya 2022 Odinga adhibitiwe, ataleta vurugu

Kenya 2022 General Election
Wakenya wako vizuri sana katika chaguzi zao.Tanzania huwa wanaigiza kufanya uchaguzi.Yaani mshindi huwa anajulikana kuwa ni ccm kwa sababu huwa wanafanya mbinu zote hasa za kuiba kura wakisaidiawa na vyombo vya ulinzi na asalama na tume ya uchaguzi.Haya yote nanasababishwa na uoga wa watanzania.Kwa mwenendo huu kwa tz Mimi nitahamia Kenya kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni pimbi Sana!
 
Kama nyinyi mnazimiwa internet huko kwenu usidhani kwamba Kenya pia tunafanyiwa huo upumbavu.
 
Makamishna wanne wa IEBC wamekataa dhuluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…