Odinga anataka Kuharibu amani ya Kenya na ya Ukanda mpo kimya ila yule wa Rwanda mlipaza sauti na kumshutumu Rais Kagame

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike Kibiashara hasa upande wa Bandari.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Mafia wa Utajiri wa Kenya ili Kinuke (Kichafuke) Kenya na Rais Ruto asalimu Amri na ama ampe Cheo Odinga au kuwe na Serikali ya Mpito ili akishakaa hapo hao Wanaomtuma waendelee Kutafuna Keki Kubwa ya Kenya.

GENTAMYCINE nina uhakika hiki Kitendo cha Kipumbavu anachokifanya Raila Odinga kingefanyika nchini Rwanda kuna Mazuzu wa Taifa Moja (Afrika Mashariki) wenye Chuki na Hasira dhidi ya Wanyarwanda (hasa Watutsi) na Rais Kagame hivi sasa wangekuwa Wanapiga mno Makele Mitandaoni kwa Kulaumu ila kwa Kinachoendelea Kenya wamekaa Kimya (Tuli) utadhani hakuna HATARI ya kutokea kwa Machafuko nchini humo.

Wanafiki wakubwa.
 
GENTAMYCINE nina uhakika hiki Kitendo cha Kipumbavu anachokifanya Raila Odinga kingefanyika nchini Rwanda kuna Mazuzu wa Taifa Moja (Afrika Mashariki) wenye Chuki na Hasira dhidi ya Wanyarwanda (hasa Watutsi) na Rais Kagame hivi sasa wangekuwa Wanapiga mno Makele Mitandaoni kwa Kulaumu ila kwa Kinachoendelea Kenya wamekaa Kimya (Tuli) utadhani hakuna HATARI ya kutokea kwa Machafuko nch

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike Kibiashara hasa upande wa Bandari.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Mafia wa Utajiri wa Kenya ili Kinuke (Kichafuke) Kenya na Rais Ruto asalimu Amri na ama ampe Cheo Odinga au kuwe na Serikali ya Mpito ili akishakaa hapo hao Wanaomtuma waendelee Kutafuna Keki Kubwa ya Kenya.

GENTAMYCINE nina uhakika hiki Kitendo cha Kipumbavu anachokifanya Raila Odinga kingefanyika nchini Rwanda kuna Mazuzu wa Taifa Moja (Afrika Mashariki) wenye Chuki na Hasira dhidi ya Wanyarwanda (hasa Watutsi) na Rais Kagame hivi sasa wangekuwa Wanapiga mno Makele Mitandaoni kwa Kulaumu ila kwa Kinachoendelea Kenya wamekaa Kimya (Tuli) utadhani hakuna HATARI ya kutokea kwa Machafuko nchini humo.

Wanafiki wakubwa.
kanyoe "MAVUZI"...yameanza kukuwasha!!
 
Huyu mzee adhibitiwe au apelekwe uhamishoni nje ya nchi akamalizie maisha yake huko. Uchaguzi uliisha na mshindi alipatikana. Sasa yeye anataka nini kila mara kuandamanisha walalahoi wa kenya? Hata kama yeye angeshinda angewezaje kuwapa wakenya maisha mazuri kwa muda mfupi hivyo? Ruto kama vipi ampe madaraka raila ili kutuliza mizuka yake
 
Naungana na ww, afuate sheria, asijetesa watu wasio na hatia kwa vurugu
Nampenda Rais Ruto kwakuwa ndani yake namuona Hayati Dk. Magufuli na Rais Kagame wa Rwanda ambao ni Wapenda Maendeleo na hawataki Ujinga wala Upumbavu kama wa Wengine / Wengineo.
 
mtu kaleta uzi wenye tafakuri, habari za MAVUZI zinatoka wapi? Naona mnataka kutukanwa na huyo bwana, majibu yake ya shombo mnayapenda sana
GENTAMYCINE nakubalika na 25% ya Werevu hapa JamiiForums ( nawe ukiwemo ), ila 75% ya Wapumbavu na Wendawazimu kama huyo hunichukia hapa JamiiForums japo bado tu 24/7 hawaachi Kunisoma kwa Mada au Posts zangu.

Cc: kidole cha simba
 
Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike Kibiashara hasa upande wa Bandari.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Mafia wa Utajiri wa Kenya ili Kinuke (Kichafuke) Kenya na Rais Ruto asalimu Amri na ama ampe Cheo Odinga au kuwe na Serikali ya Mpito ili akishakaa hapo hao Wanaomtuma waendelee Kutafuna Keki Kubwa ya Kenya.

GENTAMYCINE nina uhakika hiki Kitendo cha Kipumbavu anachokifanya Raila Odinga kingefanyika nchini Rwanda kuna Mazuzu wa Taifa Moja (Afrika Mashariki) wenye Chuki na Hasira dhidi ya Wanyarwanda (hasa Watutsi) na Rais Kagame hivi sasa wangekuwa Wanapiga mno Makele Mitandaoni kwa Kulaumu ila kwa Kinachoendelea Kenya wamekaa Kimya (Tuli) utadhani hakuna HATARI ya kutokea kwa Machafuko nchini humo.

Wanafiki wakubwa.
Mbona hata kina Mbowe na genge lake walijiandaa 2015 na kibaya walitaka kutumia mbinu zile zile aliyeharibu uchumi alikuwa Uhuru leo analaumiwa Ruto, same as Tanzania rushwa zilitokea enzi za JK eti walitaka waandamane kumtoa madarakani Dkt Magufuli. Kwa ufupi siasa za Africa ni ngumu, hakuna mwana siasa aliye na uzalendo na wanachi.
 
Na wakenya nao wapumbavu watadanganyajwe na huyu mzee Odinga kuingia kwenye maandamano? Eti Lissu na Mangi wawatake wabongo waingie barabarani, thubutuu wabongo wajanja watajikuta wao tu. Bora warambe asali tu sasa. Kenya pamoja na maridhiano fake, ukabila bado upo na hautaondoka. Nipo nimesimama palee .
 
Pia mifumo yetu ya ulinzi ipo vizuri, akina Mbowe 2015 walijipanga kweli kweli ila walianbulia patupu. Tuwashukuru sana wazalendo walinda nchi yetu. Hata 2020 walijipanga eti maandamano hahahaha kengeza alikoma
 
Odinga anaumia Ruto kumpa shavuot Rostam kwenye mambo ya gesi ambayo yeye pia anafanya na enzi za Uhuru hilo swala lilishindikana ni kama ile Nchi ahadi na wale Starlink...alianza kuwaambia Wakenya wasusie mayai ambayo muuzaji mkubwa wa mayai Kenya ni Ruto wacha tuendelee tutapata series ingine ila huo ndio kisa cha hayo maandamano biashara zake zingelindwa asingetumia Wananchi kuleta fujo...
 
Dogo umeegemea upande mmoja tu wa usalama kwa nchi wanachama EAC, but umeshindwa kueleza why hayo maandamano?.

Unajua kabisa siasa zenu za kiafrika zilivyo na bahati mbaya mzee RAO siyo aina ya wapinzani uliotaka wewe wawe, as hawa wa kwenu hapa.

Mzee RAO huwezi mfananisha na yeyote bongoland labda kama hujui, wamkamate hata kwa 1mins tu uone.

But kubwa, mzee RAO alisema kaibiwa kura na anataka server zifunguliwe wahakiki, but tume wamegoma na kumtangaza mtu wao, unataka atulie kama nyie hapo kawe?.

Namuunga mkono muzee RAO anawaamsha usingizini nyie mnaolala ambao katiba yenu mnaisigina kisa mnasema mnalinda amani ya nchi.

Mwisho kwa mfano; Amani huwa inavunjwa na vyombo vya usalama siyo raia, afrika kusini polisi walisindikiza maandamano hadi mwisho na hakuna janga.

>Kenya polisi wamezuia na kupiga waandamanaji mwisho hao hao polisi wanaandika barua kuomba excuse kwa yaliyotokea.
 
Back
Top Bottom