Safari ya Raila Odinga Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC)

Safari ya Raila Odinga Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC)

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Jana Raila Odinga na wenzake walifanyiwa mdahalo ikiwa

ni maandalizi ya kuukwaa uwenyekiti wa AU hapo February 2025

Mtakie neno la heri kwake.
Screenshot_20241214-084142_Facebook.jpg
 
Jana Raila Odinga na wenzake walifanyiwa mdahalo ikiwa

ni maandalizi ya kuukwaa uwenyekiti wa AU hapo February 2025

Mtakie neno la heri kwake.
View attachment 3176344
Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!
 
Mimi kama ningekuwa mpiga kura kwa hizo hoja mbili za "To end guns in Africa" na "Two African seats in the UN Security Council" ningelimnyima kura yangu outright!
Hata Tanzania huoni kuna guns za utekaji usieleweka?
 
Kwa nini mkuu?
Kwasababu amesema uongo huku akiwa macho kodo! Mfano, vita ya Morocco na Sahara Magharibi anaimalizaje wakati Morocco sio mwanachama wa AU?
Pili, zile nchi tano zenye VETO katika UN Security Council zimepewa kura hiyo katika ile inayoitwa "Historical World Balance of Power" financially, militarily, socially, aggressively, etc. Africa kuna nchi gani yenye sifa hizo?
 
Wakuu wa nchi za Afrika wanarejea Addis Ababa kumchagua Mwenyekiti wa Kamisheni. Kura yetu tulikubaliana ni kwa RAO Oli ukifika WHO Africa Regional office wampigie Prof. Asanteni
 
Tanzania ni nchi ya amani sana. Mkuu achana na haya ya mitandaoni. Mtu unapiga Konyagi unatembea saa sita usiku bila hofu! Tena unaimba kabisa;
"Kokokooo yalala atamile,
"Yalinzagamba yaza mapembee,...!"
Ahahahahaha!!!
Ahahahahagq mwana nyimbo gani hiyo
 
SADC ishaandika barua kwa ECOWAS ikiiomba imuunge mkono mgombea kutoka Madagascar. Raila hanaga bahati.
 
Back
Top Bottom