Odinga mimi ni raia wa Tanzania nakuomba usmwage damu

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?
 
Nakushangaaaaaa sana wewe r o anajeshi?ana polisi?mwambie Uhuru....
 
Umenena asichochee wengine wasio na maslahi wakafanywa chapati Mahakama ya Kimataifa itamshughulikia kama mharifu wa kusababisha mauaji kwa uchochezi hakuna kitu cha thamani kuliko uhai wa Mtu mwingine
 
Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?
Uchochezi ndio software yake na hard drive yake ni siasa za chuki .Juzi tu aliwaambia waKenya fulani watoke umaasaini ati "si warudi kwao" .Mwaka wa 2012 kwa kampeni aliwaambia wapwani fulani wa MRC ati "wanaongea lugha ya Raila ,lugha ya ukombozi" na sote tunajua vile alichochea mwaka wa 2007 kampeni zake dhidi ya jamii ya waKikuyu.
 
Waachie WaKenya wafanye wanaoliona ni sahihi kwao, Endelezeni harakati waKenya
 
Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?
Toka na siasa zenu za Tanzania, mnadhulumiana halafu bado mnachekeana tu.
 
Back
Top Bottom