Nakushangaaaaaa sana wewe r o anajeshi?ana polisi?mwambie Uhuru....Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?
he is a sell out....!Huyo ni Mkenya
Lkn amejitoa ufahamu tu...
Huo mwandiko tu ni wakenya kabxaa
Aah wapi mbona mi naona ni kama mla thamaki fulani hivi.Huyo ni Mkenya
Lkn amejitoa ufahamu tu...
Huo mwandiko tu ni wakenya kabxaa
Uchochezi ndio software yake na hard drive yake ni siasa za chuki .Juzi tu aliwaambia waKenya fulani watoke umaasaini ati "si warudi kwao" .Mwaka wa 2012 kwa kampeni aliwaambia wapwani fulani wa MRC ati "wanaongea lugha ya Raila ,lugha ya ukombozi" na sote tunajua vile alichochea mwaka wa 2007 kampeni zake dhidi ya jamii ya waKikuyu.Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?
Hata kwa bure hatumtaki mpelekeeni Edo lowaisdohe is a sell out....!
tumewapatieni bure....
Kwa hio damu za watu zimwagike sisi tumchekee tu?!! Aambiwe ukweli kwenye maandamano awe mstari wa mbele kabisa.shugulika na ya kwenu...yakome maswala ya Kenya..
Naona mko tayari kuchinjana kabisa..shugulika na ya kwenu...yakome maswala ya Kenya..
Toka na siasa zenu za Tanzania, mnadhulumiana halafu bado mnachekeana tu.Mimi ni raia wa Tanzania, rais wangu ni rafiki yako naomba tarehe 26 usmwage damu ya wakenya,na ili husimwage damu hiyo naomba ujipange katka maandamano uwe mbere kbsa yani uwe no moja ktk maandamano hayo sawa baba?