Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Uhuru naona ana sera kumzidi odinga na odinga anajiona msomi kumzidi uhuru. Ila kwa mimi siwezi mchagua odinga na muona msaliti na hafai uraisi labda uwaziri mkuu unamfaa maana ni mtu anayeamasisha fujo kisa madaraka hivi kweli mtu mmoja atufanye tumwage damu ni ukora, akiingia madarakani atabana demokrasia. Uhuru umepita VOTE FOR UHURU KENYATA TO BE A PRESEDENT