Odinga

CHAKULAGA

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
20
Reaction score
0
juna tetesi kuwa anatumiwa na Nchi za magharibi,naomba kujua kama kuna ukweli kuhusu hili.ingawa anauwezo wa haki ya juiu saana kuiongoza kenya.
 
Raila ni kiongoz mzur mno kwa nchi ya Kenya..but wakenya watakuja ku realize hili baadae sana...amkeni acheni ukabila hautawasaidia bali mtaangamia tuu
 
juna tetesi kuwa anatumiwa na Nchi za magharibi,naomba kujua kama kuna ukweli kuhusu hili.ingawa anauwezo wa haki ya juiu saana kuiongoza kenya.

Huna point na akili yako iko kwenye mguu anatumiwa na nchi za magharibi Kenya kuna nini waje kuchukua ?? Hizi ni njama
 
Kenya tatizo mlishaona eti mpaka uwe rais lazima uwe mkikuyu nchi ya ajabu kweli sijawahi kuona.
 
Total lies. CORD used tribal alliances previously to secure the top job. The fallout between ODM and Ruto's party had nothing to do with Kikuyus during the lead up to the 2013 General Elections. Odinga would be president today if he had played his cards correctly. Political alliances are like underwear in Kenya, they shift on every cycle.
 
juna tetesi kuwa anatumiwa na Nchi za magharibi,naomba kujua kama kuna ukweli kuhusu hili.ingawa anauwezo wa haki ya juiu saana kuiongoza kenya.

Taja kiongozi mmoja Afrika asiyetumiwa na magharibi. Hata Mugabe alitengenezwa na hao hao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…