ODM condemns Raila Odinga’s humiliation at JKIA

We nawe unahangaika kujb kikuyus? Kenya siyo taifa bali gulio la mkusanyiko wa makabila maskini yanayomilikiwa na matajiri wezi wakiongozwa na uhuru ambaye siyo tu ni mrithi wa dhuluma ya babake jomo (TJRC) lakin ndo mfadhili mkuu wa mungiki ktk PEV 2007 (ICC & TJRC), as Tz we must be conscious of our interaction with them or else get drown into negative ethnicity n become Somalia where Kenya is currently heading to.
 
hii ndo shida ya wakenya!!!! kama angekua wazir mkuu mstaafu lakini ni mkikuyu angeruhusiwa!!!
 

The way they are treating retired is unfair, it is a humiliating action, and they have to remember that today they possess all State machinery but one day they will vacate it, and they have to remember that they will also face the same fate.
 
hii ndo shida ya wakenya!!!! kama angekua wazir mkuu mstaafu lakini ni mkikuyu angeruhusiwa!!!

Shame upon them; The poor little mental blocks are underestimating the political influence Agwambo holds and the instability it might occasion on the country if his immense following so decides to rally to his defence!
 

Hehe, a classic example of a pot calling the kettle black, bona matusi kaka. Mwanzo, Kenya mna makabila mengi, kwenye Wakamba wanaishi panaitwa Ukambani. Do maana huwa unasikia,"hili na hili limefanyika Ukambani". Bona wachemka Ujaluoni ikitajwa, sio eti nime andika yasiomo. Juzi tu mahakama moja huko Luo Nyanza iliambiwa katika petition kua wafu walipiga Kura katika polling stations za huko. Si huu ndio wizi wa elections?

Mwenye mindset ya Ukabila ni wewe, kwenye akili yako unaamini kua Kiambu mafia akiongea kuhusu Wajaluo ni lazima anaongea kwa umbaya..

Juzi tu nikawa na talk na Mluhya mmoja, yeye alikua Cord damu kabla ya uchaguzi, in Kenya kuna hii perception Wakikuyu wanachukiwa. Basi huku tukiongea nikamuuliza, kati ya makabila yote ya Kenya ni gani linaukabila zaidi ya mengine, bila kusita akasema Jaluo na Kikuyu. Nikaendele kumuuliza bona anaona kua Waluo ni wakabila, "wao huongea lugha yao(kijaluo) kwa ofisi penye wako wengi" Nikashangaa sana kwa vile sikuona ukabila uko wapi hapo.

Nao Wakikuyu "ni wajuaji sana" akaniambia, akanipe kisa cha jamma fulani kutoka nyeri(kikuyuni) , yeye alienda Kakamega(Western) na akaaza kubebea watu mizigo kwa soko kwa mabega.Baada ya miaka Kumi yeye huonge Kiluhya yote na ana Matatu nyingi sana zinabeba kati ya Kakamega na Kisumu. Jamaa wangu akaendelea kuniambia kua wakulima wakilima mahali popote pale, pesa zao zote huishia Ukikuyuni, kwa vile wananunua kwa bei rahisi na kuenda kuuza bei kali.

Kwa kifupi, hawa watu "hawachukiwi" kwa ubaya wao ni kile kitu Mungu aliweka kati ya masiko yao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…