johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Raila kalambishwa Asali kama Mbowe πππHahaha
Mwisho wa ubaya ni aibu
Huku mbowe wanamkumbatia kama bikiniRaila kalambishwa Asali kama Mbowe πππ
Hatari sana ubaya ubwela!Baada ya Viongozi wanne wa ODM kuingia kwenye cabinet ya Kenya Kwanza maana yake ODM siyo Chama cha Upinzani tena hivyo kimeondolewa kwenye Umoja wa Azimio
Source: Citizen TV
Mlale Unono π
DuhHatari sana ubaya ubwela!