Connector ipo lose nyuma kwenye dashboard au kuna wire umaharibika sababu ya kuliwa na panya au sababu ya vibration.
Check hivyo kabla hujagusa kingine. Hio ni digital speedometer na haina cable inayozunguka kwenda kwenye gear box. Ikiwa kila kitu kipo Sawa upande wa connector na wire, fundi akague sensor ya speed. Inaweza iwe kwenye gear box au kwenye mfumo wa matairi.
Sio 36k btw. Hio ni Trip counter A 3631.2km. Unahitaji nikwambie Trip counter maanake nini? Zipo mbili Trip A na Trip B counter then the main mileage counter .
Hizo A na B unatumia kuhesabu km kwa trip utakayo na unaweza kuzifuta. Hio A huwa natumia kuhesabu km za service,hapo zishazidi 3000km ambayo ndio huwa limit yangu kwa service.