Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
sio unakaa na mtu mda mrefu,eti unamchunguza....akifa unaanza kuwa na guilty kama huyu mkaka wa Thailand....yeye amekaa na galfriend wake miaka kumi bila kupropose,galfriend wake amepata ajali hivi karibuni na kufa...kisha mkaka kafunga ndoa na maiti yake....mnh....
Thai Man Marries Dead Girlfriend in Joint Wedding and Funeral Ceremony | Complex
Thai Man Marries Dead Girlfriend in Joint Wedding and Funeral Ceremony | Complex