kwenye lile jukwaa kule chini mwisho.il mimi sio neema samahani kwa kumjibianeema ulienda wapi?
neema ulienda wapi?
sio unakaa na mtu mda mrefu,eti unamchunguza....akifa unaanza kuwa na guilty kama huyu mkaka wa Thailand....yeye amekaa na galfriend wake miaka kumi bila kupropose,galfriend wake amepata ajali hivi karibuni na kufa...kisha mkaka kafunga ndoa na maiti yake....mnh....
Thai Man Marries Dead Girlfriend in Joint Wedding and Funeral Ceremony | Complex
kwenye lile jukwaa kule chini mwisho.il mimi sio neema samahani kwa kumjibia
alikuwa kwenye mazishi ya wachumba sugu..
ple sana .. kule kuna thread nyingi kuliko chit chat na mmu. wewe ni under 18 ndio maana.mie lile huwa sioni kitu
eti naona sredi moja tu
ni kweli kuna sredi moja tu?
ple sana .. kule kuna thread nyingi kuliko chit chat na mmu. wewe ni under 18 ndio maana.
hajambo,lol umetususa hatukuoni kuleee siku hizi......,wewe na JF tu....
mbona nipo jamani kongosho,lol