(Ofa bure) Ifahamu ofa ya asubuhi Supa Vodacom

Mb 60 unatumia zile nokia za zamani na browser ya operamin? Saivi utazifanyia kitu gani kwenye hii mi simu yetu ya kisasa..
 
Hii itakua kwa wateja wa Dar labda, maana mimi siioni
Hii utaiona katika kipindi hicho hicho nilichoainisha 06:00 am to 08:00 am, na pia namba yako iwe active kwenye kufanya miamala na vifurushi vingine
Mimi nipo Morogoro ndanindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…