OFA: Jipatie Hosting ya Buree! Kwaajili ya Website, E-mail & System kwa mwaka 1 tu

Mimi nataka nitengeneze classified ads sasa sijui kwa web hosting kama inawezekana pia lingine
 
Here are Details
  • 1 Website: Joomla, WordPress, Drupal
  • Unlimited Bandwidth
  • 1 MySQL Databases
  • 1 FTP Users
  • One-Click Installer
  • Automatic Backups
  • SSH Access
  • 1 email
  • Free SSL Certificate
  • Live 24/7/365 Support
 
Terms & Condition:
1.Buy any Domain from us
 
Here are Details
  • 1 Website: Joomla, WordPress, Drupal
  • Unlimited Bandwidth
  • 1 MySQL Databases
  • 1 FTP Users
  • One-Click Installer
  • Automatic Backups
  • SSH Access
  • 1 email
  • Free SSL Certificate
  • Live 24/7/365 Support
Kwanini mnafanya bure?
Vip kuhusu uhakika wa website kuwepo hewani ni 99.9% kama host wengin?
 
Kwanini mnafanya bure?
Vip kuhusu uhakika wa website kuwepo hewani ni 99.9% kama host wengin?
Kuna sababu Kadhaa
1.Lengo ni kuwawezesha IT Students na wanao anza
2.Kumsaidia yule ambaye hajui mahitaji yake ya Server; hivyo huanza na hii kisha ataomba package inayofata ambayo Ni Tsh 12,000 kwa mwaka na kuendelea
3.Kuna watu wengi wanatapeliwa hasa hii fani nchini
4.Kuna wengine huitumia kufanyia demo za kazi za wateja wao kabla ya kulipia
5.Inatufanya sisi kuaminika

Kusuhu ubora
Tuna miaka 10+ tunafanya hii huduma na hakuna malalamiko; bali tuna sera ya kurejesha fedha kwa asiyeridhika na huduma zetu. La kwanza kwetu ni huduma fedha itafata

Kingine; mithili ya hii Package inauzwa kwa Ts65,000 kwa mwaka ila sisi tumesema ni Buree 1yr
 
Server zenu hazijawahi kuwa down kwa miaka kumi?
Mnahost au ni maagent?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…