Osclass katika list za Softaculous kwasasa hatuna maana waliitoa iliyokuwepo ni oscommerce ; version ya zamani ndio ilikuwepo ila unaweza uka upload mwenywewe ktk cpanelKuna app inaitwa os class ya kutengeneza website ya classified ads website inapatikana kwenye hosting service yenu?
Unachagua package unayotaka; hizi ni baadhi
1.Hostbuku 1000 kwa mwezi (mwaka 12,000) SSD 500MB
2.Economy 4000 kwa mwezi (mwaka 48,000) SSD 1 GB
na kuendelea kulingana na hitajio