Ofa kwa anayehitaji Reactjs developer!

Ofa kwa anayehitaji Reactjs developer!

Mtoto wa Jadu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
419
Reaction score
1,020
Kama wewe ni developer wa backend, na unayohitaji frontend developer mwenye ujuzi wa reactjs,

Kama wewe ni owner na una project inayohitaji frontend developer,

Au kama wewe unaproject na inahitaji developers

Basi, please njoo DM tuzungumze!

Nitakutengenezea bure kabisa na wala hautatoa hata shilingi kumi, iwapo:

i) upande wa backend umeshakamilika,
ii) Design ya UI/UX imeashafanyika
iii) kwa ujumla project sio kubwa sana.

Karibuni tuzungumze [emoji4]
 
Unapotoa tangazo kwenye umma hakikisha kuwa hata watu ambao hawahusiki na nyanja yako wanaelewa unatangaza nini.

Ninachotaka kusema ni kwamba mimi sijaelewa kitu mkuu. Nina haja sana ya kutengenezewa website ya NGO yangu na sijui ndo mambo unayozungumzia hapa. Kama unaweza kutengeneza website ambayo ni super user friendly sema tuzungumze. Nitakupa mwonekano ninavyotaka iwe na mengine utamalizia mwenyewe....
 
Wazee wa react.js, kuna ndugu mmoja yeye akijua tu ku print output ile "Hello, World" kwa language yoyote anajiona yeye ndo developer bora haijawai kutokea anataka na ku apply kazi Google.

BTW tunomba link ya github au project za react ulizo wahi kufanya pia upo comfortable na ruby on rails backend (kwa maana ku tengeneza API). Kuna jamaa yangu mmoja nahangaika na project ya ku streams mziki online
 
Njoo DM nikupatie links za Github na hata working links za kazi nilizofanya...

Kwa backend sifanyi Ruby ndugu, nafanya laravel na symfony tu!
 
Unapotoa tangazo kwenye umma hakikisha kuwa hata watu ambao hawahusiki na nyanja yako wanaelewa unatangaza nini.

Ninachotaka kusema ni kwamba mimi sijaelewa kitu mkuu. Nina haja sana ya kutengenezewa website ya NGO yangu na sijui ndo mambo unayozungumzia hapa. Kama unaweza kutengeneza website ambayo ni super user friendly sema tuzungumze. Nitakupa mwonekano ninavyotaka iwe na mengine utamalizia mwenyewe....
Ndugu Shimba, unachoongea ni kweli kabisa, maelezo yanapaswa yaeleweke kwa wote...

Lakini, kimsingi nilikusudia hao watajwa ambao kama wakipitia maelezo basi watanielewa vizuri...

Kwa case yako sasa, hii ilikuwa ni ofa tu kwa ambao wangehitaji mtu wa kuwatengenezea muonekano wa tovuti yao. Sharti, tovuti hiyo iwe ni application (mfumo wa kikompyuta)

Sasa, wewe unahitaji tovuti ya NGO, yaani iwe tu inatoa habari za NGO yako. Kwa kweli ofa hii haifiki huko,

Ila kama kweli unataka mtu wa kukutengenezea tovuti hiyo, basi njoo DM tuyajenge!
 
Back
Top Bottom