Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 419
- 1,020
Njoo DM nikupatie links za Github na hata working links za kazi nilizofanya...Wazee wa react.js, kuna ndugu mmoja yeye akijua tu ku print output ile "Hello, World" kwa language yoyote anajiona yeye ndo developer bora haijawai kutokea anataka na ku apply kazi Google.
BTW tunomba link ya github au project za react ulizo wahi kufanya pia upo comfortable na ruby on rails backend (kwa maana ku tengeneza API). Kuna jamaa yangu mmoja nahangaika na project ya ku streams mziki online
Ndugu Shimba, unachoongea ni kweli kabisa, maelezo yanapaswa yaeleweke kwa wote...Unapotoa tangazo kwenye umma hakikisha kuwa hata watu ambao hawahusiki na nyanja yako wanaelewa unatangaza nini.
Ninachotaka kusema ni kwamba mimi sijaelewa kitu mkuu. Nina haja sana ya kutengenezewa website ya NGO yangu na sijui ndo mambo unayozungumzia hapa. Kama unaweza kutengeneza website ambayo ni super user friendly sema tuzungumze. Nitakupa mwonekano ninavyotaka iwe na mengine utamalizia mwenyewe....