OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

Ghaysh

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
32
Reaction score
52
Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.



LABEL NI NINI?

Label ni kipande cha cha sticker kinachobandikwa au kuzungushiwa kwenye kifungashio cha bidhaa. Kipande hicho huwa na jina la bidhaa na taarifa muhimu za bidhaa hiyo kama vile taarifa za mtengenezaji, mawasiliano ya mtengenezaji, viambata vilivyopo kwenye bidhaa, Jinsi ya kutumia bidhaa husika n.k



Kwa nini utengeneze label za bidhaa zako kwetu?

Leo Digital Sprayer tuna uzoefu wa muda mrefu kwenye nyanja ya ubunifu(design) na uchapaji wa label.

Tunatumia mashine za kisasa kwenye uchapaji na ukataji wa label zetu hivyo kumpunguzia mjasiriamali gharama za ziada na kuokoa muda katika maandalizi ya bidhaa yake.

Tuna malighafi(material) ya aina mbalimbali yanayokidhi na mahitaji ya bidhaa husika na mapendekezo ya mjasiriamali.

Label zetu zinaweza kutumika kwenye bidhaa za aina zote kama vile kwenye chupa za juice, chupa za marashi, makopo ya vipodozi, kontena za vyakula n.k



Huduma zetu nyengine

Tunaprint Tshirt, Non Woven bags, Business & Invitation Cards, Mabango ya aina mbalimbali, Picha mbao, Vikombe n.k



MAWASILIANO:

Tunapatikana Kigogo Njia Panda, Dar es salaam (Tanzania)

Simu: 0784138848, 0764638848

Email: leodigitalsprayer@gmail.com
 

Attachments

  • IMG_5002.jpeg
    IMG_5002.jpeg
    345.2 KB · Views: 11
  • IMG_4870.jpeg
    IMG_4870.jpeg
    396.8 KB · Views: 8
Baadhi ya kazi tulizozifanya
 

Attachments

  • IMG_4629.mov
    40.5 MB
  • IMG_4271.mov
    6.8 MB
Back
Top Bottom