Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Hapana mkuu ila tunapokea malipo ya awamu unapewa risiti zote unapomalizia unachukua machine yako nakushauri njoo ofisini ulipie 0762612213 maelezo zaidi namna ya kufika ofisiniMimi nina million 1.5 naweza kupata za ice cream ?
Unahitaji ukubwa ganiMna mashine za kilimo?
Ile ya ku pump maji?
Unaweza ukaniambia size na bei zake boss?Unahitaji ukubwa gani