Natafuta kazi
Member
- May 10, 2012
- 31
- 1
haya jamani baada ya kusubiri sana ajira kwa njia halali sasa natangaza ofa ya pesa japo kiduchu tu kwa mtu atakayefanikisha kupata kazi.
changamkieni fasta wadau. Nasubiria PM zenu
utaweza interview?
Manake siku hizi kuwa short listed ndo msaada. Inabidi uogelee na interview man alone.
All the best katika manunuzi.
kama unauwezowakununua kaz si ni bora ukajiajiri?
naona hapo mwanzoni kuna mchuano mkali kati ya natafuta kazi na m-mpesa....
Natafuta kazi anajaribu kutoa ushawishi wa fedha lakini m-mpesa anachomoa...lol!