pc techician
Member
- Sep 18, 2015
- 27
- 32
Hilo lichata lako la WCB nimenifanya nighairi kukupigia simu
Nalifuta boss ni stiker tuHilo lichata lako la WCB nimenifanya nighairi kukupigia simu
Hata mm ningeghairi kiukwel coz inaonyesha muuzaji ni muhuni so imani ya mteja inapungua.Hilo lichata lako la WCB nimenifanya nighairi kukupigia simu
Boss hiyo vijana wa bodaboda ndo wameweka linatoka tu hiyi striker siyo tatoo kwamba haifutikiHata mm ningeghairi kiukwel coz inaonyesha muuzaji ni muhuni so imani ya mteja inapungua.
Mbona na bei hujawekaBoss hiyo vijana wa bodaboda ndo wameweka linatoka tu hiyi striker siyo tatoo kwamba haifutiki
Laki 9 huwenda nimesahau samahani bossMbona na bei hujaweka
Halaf pia nikichek kadi inaonyesha uliinunua mwaka 2016 maana yake umeitumia kwa miaka 3,Sasa huoni Kama unataka mtu likamfie akinunuaLaki 9 huwenda nimesahau samahani boss
Hata miezi 6 haijafanyiwa bodaboda alikuwa anaendesha mwenyewe njoo huikaguwe ndo useme maneno yako chombo kitajioneshaHalaf pia nikichek kadi inaonyesha uliinunua mwaka 2016 maana yake umeitumia kwa miaka 3,Sasa huoni Kama unataka mtu likamfie akinunua
Ishu sio kufanyiwa bodaboda ishu Ni kwamba Ina miaka 3.Hata miezi 6 haijafanyiwa bodaboda alikuwa anaendesha mwenyewe njoo huikaguwe ndo useme maneno yako chombo kitajionesha
Ndo bei mwenyewe aliyoipanga mimi siwez ipunguza chombo siyo changu na kasema bila bei hiyo hauzi .Mimi nakushauri kanunuwe au tafuta cha mwaka wako unaohutaka ila mwenye chombo katowa bei hiyo na maelezoIshu sio kufanyiwa bodaboda ishu Ni kwamba Ina miaka 3.
HayaNdo bei mwenyewe aliyoipanga mimi siwez ipunguza chombo siyo changu na kasema bila bei hiyo hauzi .Mimi nakushauri kanunuwe au tafuta cha mwaka wako unaohutaka ila mwenye chombo katowa bei hiyo na maelezo
Usipoteze muda kuwajibu, mteja hawezi kuagaishwa na stiker ambayo anaweza kuibandua muda wowote akitaka. Hakuna wateja hapo.Boss hiyo vijana wa bodaboda ndo wameweka linatoka tu hiyi striker siyo tatoo kwamba haifutiki
ongeza boss hata 850 kwa wwkuna 700k apa cash
HailipiNjoo nayo temeke kesho j,mosi ,ukifika usalama utanikuta ila uwe tayari kuuza kwa laki nane
Sawa mkuu haina taabuHailipi