Ofa! Ofa! Ofa!!!

I am Bless

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
231
Reaction score
518
*Kama utakipenda chochote hapa njoo Inbox tuzungumze biashara*

1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 9,000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 4,000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 900/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini

6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei Tsh 8,000/=

7.Flat scren bei TSh 90,000/= kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek

8.Simu aina ya Sumsung s7 edge TSh 70,000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!

9.Kamera aina ya sony mp 16 bei Tsh 27,500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.

10.Bajaji aina ya tvs, bei Tsh 60,000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

*Karibu, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k. Karibuni mnooo* *Kama utakipenda chochote hapa njoo Inbox tuzungumze biashara*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…