Ofa! Ofa!

VENTURECACHER

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
38
Reaction score
8
Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
 
Wapelekee Watoto yatima hicho chakula, hilo litakua jambo jema zaidi, maana ni heli walioshiba wakawakumbuka walionanjaa kuliko aliyeshiba kumkumbuka aliyeshiba.
 
haya warembo 'chakula cha usiku' hicho mkichangamkie
 
Warembo jamani, muda wayoyoma huooo!!

Wewe sio mrembo?

Naona watu wanaleta mapozz utadhani hua hawali.Mtoa mada niambie nikukute wapi tusherekee miaka 50 ya utumwa.
 
+255763300008/0713800800. Haya nipigie tutoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…