SOFTWARE OFA: Tuna install software kwenye Laptop na Desktop

mabibotech

Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
78
Reaction score
16
OFA! OFA! OFA!

Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
  1. Kutengeneza simu za aina zote
  2. Kutengeneza kumpyuta za aina zote
  3. Kuweka programu kwenye kompyuta.
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.

Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
 
Laptop yngu ilkua na tatizo la kurestart ukiiwasha haikubal imedai kuinstall operation system nimeireset sina program yeyote hata nikitaka mc word hamna pia kabla ilkua na shida ya mwanga mkubwa haupungui nakuja niambie upo mabibo gani nikufate 23 April mapema mno unisaidie nitakua wa kwanza kwnye que naijua Mabibo vzur nitakupata tu
 
Mabibo hostel karibu. tupo karibu na kituo.
 
Mkanda wa laptop unahitajika

Lenovo g500

Naupataje na gharama zake
 
Mkuu una driver pack solution? Nimetoka kupiga window but nimecheki kwenye device manager hamna drivers za network, na hivyo haiconnect wi-fi wala sina access ya internet kabisa. Nipo main campus
 
OFA! OFA! OFA!

Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
  1. Kutengeneza simu za aina zote
  2. Kutengeneza kumpyuta za aina zote
  3. Kuweka programu kwenye kompyuta.
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.

Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
mnatengeneza kompyuta aina zote au mnarepea zenye matatizo
 
Mkuu una driver pack solution? Nimetoka kupiga window but nimecheki kwenye device manager hamna drivers za network, na hivyo haiconnect wi-fi wala sina access ya internet kabisa. Nipo main campus
mkuu kma unaweza pata nafasi uje apa ofisini kwetu mabibo hostel tunayo utapata.
 
Back
Top Bottom