mabibotech
Member
- Apr 11, 2018
- 78
- 16
Laptop yngu ilkua na tatizo la kurestart ukiiwasha haikubal imedai kuinstall operation system nimeireset sina program yeyote hata nikitaka mc word hamna pia kabla ilkua na shida ya mwanga mkubwa haupungui nakuja niambie upo mabibo gani nikufate 23 April mapema mno unisaidie nitakua wa kwanza kwnye que naijua Mabibo vzur nitakupata tuOFA! OFA! OFA!
Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.
- Kutengeneza simu za aina zote
- Kutengeneza kumpyuta za aina zote
- Kuweka programu kwenye kompyuta.
KARIBUNI SANA!
Mabibo hostel karibu. tupo karibu na kituo.Laptop yngu ilkua na tatizo la kurestart ukiiwasha haikubal imedai kuinstall operation system nimeireset sina program yeyote hata nikitaka mc word hamna pia kabla ilkua na shida ya mwanga mkubwa haupungui nakuja niambie upo mabibo gani nikufate 23 April mapema mno unisaidie nitakua wa kwanza kwnye que naijua Mabibo vzur nitakupata tu
Asante nitakutafutaMabibo hostel karibu. tupo karibu na kituo.
Ofa imeianza!Asante nitakutafuta
Nitakutafuta today I'm not feeling wellOfa imeianza!
Anytime!Nitakutafuta today I'm not feeling well
Mkuu unahitaji mkanda wa kwenye screen, keyboard au mkanda wa aina gani..!?Mkanda wa laptop unahitajika
Lenovo g500
Naupataje na gharama zake
mnatengeneza kompyuta aina zote au mnarepea zenye matatizoOFA! OFA! OFA!
Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.
- Kutengeneza simu za aina zote
- Kutengeneza kumpyuta za aina zote
- Kuweka programu kwenye kompyuta.
Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
mkuu kma unaweza pata nafasi uje apa ofisini kwetu mabibo hostel tunayo utapata.Mkuu una driver pack solution? Nimetoka kupiga window but nimecheki kwenye device manager hamna drivers za network, na hivyo haiconnect wi-fi wala sina access ya internet kabisa. Nipo main campus
Karibu ofisini kwetu kwa maelezo zaidimnatengeneza kompyuta aina zote au mnarepea zenye matatizo
Mkanda wa kwenye screenMkuu unahitaji mkanda wa kwenye screen, keyboard au mkanda wa aina gani..!?