Mkuu kutoka Tegeta mpaka zinga haiwezi kuwa hizi Km 8, ni km 31 mwendo wa 50min kwa gari.Njoo Zinga bagamoyo Km 8 kutokea tegeta kwa ndevu dakika 30 kutoka zinga hadi kwa ndevu kwa daladala pia dakika 20 kwa gari binafsi. Kiwanja square meters 1200 kwa Tsh 7M tuuu kipo barabarani (ya mtaa) na kipo umbali wa dk kumi kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara kuu.
Mimi nnacho kipo Kibamba- luguruni jirani na kanisa la Lutheri usharika wa Luguruni. Ukubwa 45*30 kimepimwa na kina hati.
Kina offerkimepimwa?
Ndio kimepimwaKina offer
Na wauzaji wanajisalimisha mara moja😁..... Unachagua mwenyewe..... Mambo yamebadilika sana sanaama kweli mambo yamebadilika ! sasa ukiwa na hela na fedha ndio unawaita wauzaji ! Miaka mitano nyuma hapo lazima upitie kwa dalali na upigwe!Ardhi imepanda thamani na imeshuka bei! 😀
Maeneo ya tegeta patakufaaHuku ni mbali mno. Asante kwa ofa yako
Mbezi beach ipo 29 kwa 20
Na akiongeza kipimo kisogo tuu yatabadilika zaidi.Na wauzaji wanajisalimisha mara moja😁..... Unachagua mwenyewe..... Mambo yamebadilika sana sana
Vinne sehemu moja, au?!Kingine nnacho kigamboni kipo dege njia ya kushoto kabla ya yale magorofa ya dege kina sqm 920 ndo nifanya upomaji ,hiki ni kizuri sana nnavyo vinne aina hiyo