Ofa ya gharama za uandishi wa write-ups

Ofa ya gharama za uandishi wa write-ups

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello,

Kwa muda wa mwezi wote wa kumi (OCTOBER), Ofisi yetu Tunatoa punuzo au OFA ya gharama za jumla za kutayarisha au kuandaa WRITE-UPS za aina mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya mteja. OFA yetu ni 40% pungufu ya gharama halisi ya kuandaliwa Write-up husika!!

Baadhi ya writeups ambazo tumeshafanya sana na ambazo kwakweli ndio ziko katika OFA hii ni:-
  1. Business proposal/plans - kwa ajili ya kutafutia mkopo/mtaji -kwa biashara mpya. Pia kwa ajili ya kuendeleza au kupanua biashara zilizopo, au kuvutia uwekezaji au business partners.
  2. Project proposals - kwa ajili ya kutafutia funding au kuvutia uwekezaji
  3. Company registration documents
  4. NGOs registration documents
  5. Research Proposals kwa ajili ya Consultancy
  6. Research proposal editing (document reviewing before submission) for both consultancy and academics
  7. Land use proposals kwa ajili ya kuvutia uwekezaji wenye tija kwa wadau
  8. NA proposal au writeup yoyote.
Hizo ni baadhi ya kazi zetu, lakini tunazo nyingi sana hasa katika nyanja ya Project Consultancy services.

Ofisi Mbeya na Dar.

0652-656565
click: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
Back
Top Bottom