INAUZWA Ofa ya kitabu cha Think & Grow Rich toleo la Kiswahili 2021

INAUZWA Ofa ya kitabu cha Think & Grow Rich toleo la Kiswahili 2021

Peter Agostino

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
105
Reaction score
229
Pata vitabu 2 kikiwemo kitabu cha FIKIRI NA UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION) kwa shilingi elfu 10 tu,

Kitabu cha 2 ni, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, Offa hii haihusishi nakala ngumu Za vitabu hivyo.

JINSI YA KUVIPATA

  • Fikiri na Utajirike utakipakua kwenye mtandao wa GETVALUE Baada ya kulipia shilingi elfu 10 .

  • Kitabu cha pili Michanganuo ya biashara na Ujasiriamali utatumiwa kwenye siku yako au kompyuta bila malipo mengine yeyote

Kwa mawasiliano zaidi; simu/watsap: 0765553030

Fikiri-na -utajirike-cover2.jpg


michanganuo..tz.jpg
 
NUNUA KITABU CHA THINK & GROW SWAHILI EDITION UPATE KITABU CHA MICHANGANUO YA BIASHARA BURE!
Mawasiliano/watsap: 0765553030
 
Lipia kitabu cha Think & Grow Rich leo upate zawadi ya vitabu na michanganuo ipatayo 21, Tuwasiliane kwa namba 0712202244 nikupe anuani ya kitabu kilipo Ukishakinunua nitumie ujumbe nikurushie zawadi zako
  • KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili

  • KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili

  • KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili

  • KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

  • KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza

  • Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili

  • Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili

  • Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili

  • Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili

  • Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza

  • Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili


  • Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili

  • Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili

  • Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili

  • Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza

  • Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

  • Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili

  • Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili
 
Naomba kufahamu kwanza utajiri wa mwandishi wa kitabu na huyu Tarimo
 
Naomba kufahamu kwanza utajiri wa mwandishi wa kitabu na huyu Tarimo
Nikuulize mamilioni ya watu Duniani waliosoma na wanaosoma hiki kitabu huhoji kwanza utajiri wa Napoleon Hill? Tarimo ni just mfasiri tu wa kazi hii ya Napoleon sasa unataka kufahamu utajiri wake wapi na wapi? Hili ni tangazo nawewe tangaza kazi zako uuze acha negativity mkuu
 
Back
Top Bottom