Ofa ya pasaka kwa xperia z

magzee

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
62
Reaction score
7
simu ni brand new kwenye box...punguzo la asilimia 20 ya bei yake kamili..16GB internal memory, 2GB RAM, 13 MP of the camera, 4.3 android version...na above all ni water resistant...haiingiliwi na maji kabisa...bei 760,000 nitafute kwenye namba 0713409381......asanteni
 

Attachments

  • sony xperia Z.jpg
    25.6 KB · Views: 119
Hizi ni mpya kijana wangu...sio used kama unazouza wewe
 
Kama una samsung galaxy mega 6.3 sema tufanye business
 
Oyo sina lakini kama unaitaka naweza kuagizia pamoja na mzigo wangu unaoingia next week...je nitume order yako pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…