agripa robart
Member
- Oct 8, 2014
- 25
- 13
Sorry sikukuelewa mkuu sikuona hiyo zinauzwaje.Mtu anakuuliza zinauzwaje unamwambia zinapatikana karibu.
Tayari anajua kuwa zinapatikana ndio mana akasema anahitaji, laa sivyo angeuliza je zinapatikana ndio ulitakiwa kujibu hivyo ulivyojibu lakini mtu kakuuliza mnauzaje halafu jibu unalompa ni tofauti na alichouliza.
Watanzania amkeni kibiashara aisee, bado ukija hapa utamwambia njoo PM au Whatsapp umpe bei, changamkeni aisee. Daaah...!
Sorry sikukuelewa mkuu sikuona hiyo zinauzwaje.
Za futi 12 ni sh 12000 kwa pc
Na za futi 20 sh 1150 kwa futi
Sent using Jamii Forums mobile app