SOFTWARE Ofa ya Website Kwa Wakazi wa Mwanza, Kahama, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro

SOFTWARE Ofa ya Website Kwa Wakazi wa Mwanza, Kahama, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro

tzhosts

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
403
Reaction score
510
Je, wewe ni mmiliki wa BIASHARA ambaye ni Mkazi wa Maeneo TAJWA hapo JUU?

Je, unataka kuweka biashara yako mtandaoni ili iwe ya kisasa na kurahisisha mawasiliano yako?

Je, wewe ni mmiliki wa yoyote kati ya aina hizi za biashara:
  1. Hotel na Lodges
  2. Kuuza na Kununua Dhahabu
  3. Biashara ya usafirishaji wa bidhaa mbalimbali mizigo na watu
  4. Uzalishaji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali
  5. Ununuzi na uuzaji wa mazao ya mashambani
  6. Biashara nyingine yoyote yenye sura ya kitaifa au kimataifa
Kama jibu ni ndio,
  1. Je unataka Biashara yako ifahamike kwa watu wengi ndani na nje ya nchi?
  2. Unataka simulizi ya yako iwatiew moyo na wengine kutoka ndani na nje ya nchi?
tzhosts.com tunakuletea ofa maaluma ya tovuti,website kwa ajili ya Biashara yako.Tutakuwa tunatembelea miko ifuatayo ili kuziingiza biashara za watanzania mitandaoni kwa gharama nafuu.LENGO letu ni kuwawezesha watanzania kuonesha bidhaa na huduma zao kwa ulimwengu kwa gharama nafuu na uhakika?

Iwapo ungependa tukutembelee na kujadiliana juu ya namna bora ya kutumia fursa za kidigitali katika kukuza biashara yako basi wasiliana nasi kwa email:sales@tzhosts.com

FURSA hii sio ya kukosa
 
Back
Top Bottom