Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 533
- 893
Karibu boss, napatikana DSM-Sinza E. Kama una ndugu/rafiki unaweza mwambia afike ofisini kwa niaba, ni Sinza E barabarani kabisa. Unaweza kunitafuta kwa hizo namba hapo juu.Mkuu habari, ninaihitaji huduma hii kwa ajili ya NGO ya ndugu yangu. Ningependa kujua ofisi yako ilipo pamoja na details zako ili nijue uhalisia/uhalali wa mtu/kampuni itakayonipa huduma.
Huduma hii inahitajika kwa haraka sana na nipo nje ya Dar Es Salaam.
Karibu boss