Basi kama ni kweli wanapenda iweje wakae kimya si wanafurahia?? kama sivyo kwa nini wasikate then wawashitaki??
Hahaha! Mpwa kumbe upo? weekend yote hii si ujipumzikie na kataska ka baridi nyumbani?
Nyumbani hainogi mtoto anaweza kumwaga ....tupo kijiweni hapa na mzee Geof anatafuna tusker ya 12 tunamsubiri Mpwa Fidel aje tumwekee kreti miguuni kumwita mhudumu mara x kwa mara itakuwa usumbufu wengine washakuwa viziwi shauri ya muhogo
Mpwa utanifanya niharibu kazi za watu. Taratibu. Kiu mbaya.
Wk end kuharibu kazi kawaida, na wewe unafanya kazi wk end wewe INVISIBLE? AU MODE? pia wanakulipa kiasi gani? kwa nyuma yetu tunawaona NJENJE wanasema mic one two one two mama ya kiarabu yanajipaka wanja tayari kutoa burudani kwa wapwa, tunawasiliana na convoy inayomlete MAXENCE NA FARIDA
Kwa jinsi navyomjua Geoff, leo dada yangu atakuwa likizo! Hahahaha! Mpwa taratibu, hiyo microfone testing kiboko. Njenje si ndio kina Nyota na ile kitu yao mapenzi niiiii kusikilizanaaa. Ngoja nimjaribu Ziondaughter wangu kama yuko hewani nije naye tucheze pamoja.
GEOFF:
hehehe!
shemeji fanya kitu kimoja,
NJOO HAPA SALENDA.mimi siongei sana,naomba kitu kimoja uje na pasiwedi yangu ya jf,maanake siikumbuki kabisaaaaaaaaaaaaa
(taska ya 14)!mpiganaji anakuja na tukutuku lake.
Shemeji taratibuu. Lol! Tukutuku na hako kanywaji mpwa atakuwa hatarini. Hahahah. Kiu bana! Hapo mkuu Nguli anapasifiaga sana, vipi ile hobby yetu inapatikana kwa wingi hapo? Manake raha ya taska ijumlishwe na hobby. Leo mkuu Nguli naona atavunja mwiko wa kutoonja kilaji.
GEOFF:mkuu nguli ana katoni yake ya maji makubwa ya kili,sijui itakuwaje MAANAKE NAONA AMEANZA KULEWA!(nimestuka kuona anatafuta namba za FL1 kwenye fone yake)hahahahaa!leo patachimbika bila jembe!
kuhusu hobby:nimepindua shingo hapa nimeona kifaa cha kufa mtu,kimefunga inshu kwa nyuma hadi naogopa.sasa vipi niweke oda kabisa?
Bwa shee unanivunjia mbavu zangu. Taska ya 14 vs katoni ya kilimanjaro! Muda si mrefu shemeji utaongea ki-Bluray na na Binamu ataongea ki-FL1. (kama ana contacts zake basi binamu yangu hatari) Ila mwambie asikonsetreiti kwenye avatar, mwenyewe hachelewi kuwa kama burn wa wakati ule.
Hiyo red shemeji naona unanitangazia vita na Fidel. Tukutuku litaishiwa mafuta leo.Hahahaha! Ugonjwa wangu ni vikina-miss Kinondoni. Hahaha!
GEOFF:
hehehehe!breking nyuuzi ni kwamba mpiganaji FIDEL ndani ya nyumba,anaanza kuzisulubu ndovu mpya.ili kupunguza makelele ya WEITAAAAA,WEITAAAAA!tumeamua kuleta kreti lake kabisa.bai dhe wei mbuzi ya foil ipo kwenye paipu-laini!
naomba uni pi-emu pasiwedi yangu basi
GEOFF:
hehehehe!breking nyuuzi ni kwamba mpiganaji FIDEL ndani ya nyumba,anaanza kuzisulubu ndovu mpya.ili kupunguza makelele ya WEITAAAAA,WEITAAAAA!tumeamua kuleta kreti lake kabisa.bai dhe wei mbuzi ya foil ipo kwenye paipu-laini!i
Hamna anayefurahia kubakwa,utackiaje utamu bila kujiandaa? Hata ukiw a tu na mpenzi wako lazima mjiandae la cvyo hamtaenjoy. Sema na serikali yetu itilie mkazo,maana mtu wa kesi ya kubaka-unashangaa unaambiwa ulitaka mwenyewe na ndiyo maana watu hawasemi kwa kuogopa aibu mtaani. Ila wanaume jamani!! acheni kubaka ni aibu na ni ukatili!!
Audax darling, Are you he or she? Wapwa si manona wenyewe ushahidi huu?
We umetudanganya uanakuja kumbe uko home....umesahau webcom on tunamuona ZD anatabasamu hapo
Hahaha! Mkinikumbusha ZD wangu, haka kamouse kananipiga shoti! Wapwa, eti huyu Audax atakuwa she au he? Hakyanani, hicho kikao nikikikosa leo ntahitaji kulipa faini.