Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tatizo liko hapa kwenye bandiko lako mkuu,
weka keyboard chini kajenge nchi! Unaandika andika tu! Am already inspired to make a difference in my own way...
As if a keyboard does not build a nation ...say that to Bill Gates or those Google whiz kids!
Kuna tatizo gani hapo?
Umetumia nafsi ya pili katika maelezo yako.
Kwa hiyo....
Umejikana.
Hiyo ni tafsiri yako...
Aksante. basi natatizo la luga nitawasiliana na my best friend BLURAY
Kweli una tatizo la lugha. Mtafute Bluray haraka sana!!!!!!
Hivi ameshaamka?
Sijui. M-PM...
Auko geto?
geto gani?
Haupo home leo?
Kuwepo kangu nyumbani kunahusiana nini na Bluray?
Da! Sorry nilifikiri uko ATLANTA
Kuwepo kangu nyumbani kunahusiana nini na Bluray?
Downtown/surburb?