OFFA BABU KUBWA NAWALETEA WATU WANGU WA DODOMA NA TANZANIA YOTE KWA UJUMLA NAHITAJI TUFUNGE MWAKA KWA PAMOJA NA KUKARIBISHA MWAKA MPYA.

Embassy

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
36
Reaction score
16
NAUZA NYUMBA ILIOKAMILIKA UNAINGIA NA BAG LAKO LA NGUO TUH.
INA ROOM 4 - 2 N MASTER BEDROOM
SEBLE
DINING
JIKO NA STORE
PUBLICTOILET

UKUBWA WA ENEO SQM 700

NYUMA KUNA NYUMBA NDOGO - CHUMBA MASTER SEBLE ZIPO 2

KUNA TANK LA MAJI KUBWA JUU.
PAVING BLOCKS
Full Fens na Get
Electical Fens wire
Mazingira mazurii na tulivu sanaaa.
[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️[emoji810]️
PIA VIWANJA NAUZA VYA MAKAZI NA BIASHARA HOTEL. GODOWN. SHELL. PIA VYA MAKAZI

ENEO MAHALA VIWANJA VILIPO NI NZUGUNI JILAN NA STAND AU SOKO LA 8 8
PIA NDIO UWANJA WA MPIRA MPYA MKUBWA WA KIMATAIFA UNAPOJENGWA.
PIA PANAPAKANA NA ARENA.

HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
MAJI + UMEME + BARABARA LAMI
PIA BARABARA ZA MTAA NI NZURII

NYUMBA INAUZWA DODOMA MJINI JILAN KABISA NA BUNGE LA TANZANIA MAKOLE.
ENEO LINA UKUBWA WA SQM 600
ENEO LA KWANZA BARABARA YA LAMI
PANAFAA SANA KWA UWEKEZAJI WA AINA YEYOTE
MFANO :- Hotel. Lodge. Ukumbi. Flem za Biashara. Restaurant. N.k

Ni eneo lenye Fursa kubwa sanaa
Jilan na Bunge pia Jilan na main road ya dar es salaam.
Jilan sanaa na Chuo cha CBE na uelekeo wa Stand ya Daladala ya Sabasaba na sokoni

Mawasliano zaid
Tupigie simu
Call ____ watsApp 0718436694
View attachment 3175358View attachment 3175359View attachment 3175360
Screenshot_20241211_103607_Write%20on%20Pictures.jpg
 
View attachment 3175358View attachment 3175359View attachment 3175360View attachment 3175361
Umepamba vizuri tangazo lako! Ila mwisho wa siku umeshindwa kuweka bei ya kuuzia! Sijui ni bahati mbaya!! Au umefanya kwa makusudi!!
 
Jilan ..mtu akiandika hivi sijui namchikuliaje..Hivi umeshindwa kabisa kuandika Jirani.
 
Huweki picha wala bei.

Wewe utakuwa dalali 3rd generation. Waambie madalali wakuu wanaokupa kazi ufanye wakupege picha na bei!
 
Back
Top Bottom