Zipo nyingi sana sokoni saiv, halafu ishu sio imac, mkazo tunaangalia mwaka, mid 2011, saiv tupo 2019 almost miaka 8, kwenye techies miaka 8 ni mingi sana bro.1 m kwa iMac boss.
Usikonde babu, ila wapunguzie bei kidogo.Mzee mbona magari mnanunua mpaka ya 2000