rahisi ni ghali rafiki.karibu tukupe huduma inayoendana na bei.Mbn bei zako mkasi sana jaribu kufanya tafiti kwa wenzako uone bei zao zilivyo au ndio unadaiwa kodi ya nyumba beiingekuwa rafiki ningekupa connectionnyingi sana ila bei zako hapana
rahisi ni ghali rafiki.karibu tukupe huduma inayoendana na bei.
tabata barakuda karibu na kitambaa cheupeLocation?