Offer maalum Kwa wakazi wa mwanza Na viunga vyake

Offer maalum Kwa wakazi wa mwanza Na viunga vyake

robby un

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
52
Reaction score
39
Habari jf natafuta Mke wa kuoa alie Na sifa zifuatazo 1. Ajue kusoma na kuandika 2.awe na heshima 3. Mweupe ama Maji ya kunde 4. Asiwe mfupi sana wala mnene sana 5.umri miaka 18-26 .karibuni PM hata single mothers ruksa
 
Eti awe anajua kusoma na kuandika, umewaona wadada wa Mwanza ni Primitive sana.
 
Back
Top Bottom