Offer offer phone accessories

Vioo vingi vya simu za tecno na infinix ni chenga saana ukibadili tu mara ianze kujitype yenyewe simu ijipige ikate ifungue jf yaan ni shida saana nawaonea huruma sana wanaotamba na hizo simu sema ndio mkombozi wa wanyonge kama mimi
Kioo changu cha Samsung A10s nilinunuaga kwa bei ya chini sana kariakoo, matokeo yake kuna muda inachora mistari mingi sana juu chini. Hapo dawa nascreen off/on ndio inakaa sawa.
 
Iko kioo chs iphone 7 plane ukiweka na touch ID inarudi kama kawaida…?
 
Nina shida na kioo cha Oneplus8 mwenye kujua vinapopatikana anicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…