House4Rent OFFER! Room Makulu - Oysterbay

Amon Lisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
211
Reaction score
452
Habari wakuu

Kuna Room ya kupangisha Makulu- Oysterbay.

SIFA

1. Room ni self contained ( choo ndani)

2. Nje ina sehemu ya kibaraza, unaweza pika nje kwa jiko la mkaa, pia unaweza hifadhi vyombo vya maji nk..

3. Ni sehemu ya washua, hakuna uswahili ndio maana panaitwa Oysterbay.

4. Kuna submeter ya umeme kila room, umeme unaolipa ni matumizi yako tu.

5. Usafiri ni uhakika.

6.Sitakuchaji ya Dalali.

BEI ni 100,000 (100k) kwa mwezi

NB: Room imelipiwa hadi mwezi wa tano, utalipa kodi kuanzia Mwezi wa sita ila utanilipa kodi ya mwezi wa tano ambao mimi nitakuwa nimetoka.

Karibuni PM
 
Kuna wapangaji wangapi?
 
Msi Msitumie majina ya Oysterbay kuwakilisha ushenzini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…