Phone4Sale OFFER: Xiaomi Smartphone for Sale 219000 Tzs

Classic 1

Senior Member
Joined
Sep 11, 2021
Posts
117
Reaction score
113
Smartphone for Sale
Grab this Offer Now!

Xiaomi Redmi 7
Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 3 GB

Condition: Used but still in a good condition
Battery: 12 hrs +
Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ

OFFER: 219,000 TZs

CALL: 0658 700 510
Serious buyers only!

IMG_20211113_062724.jpg
 
Kwa wale wanaouliza Xiaomi zinatengenezwa nchi gani?

Jibu: Zinatengenezwa China but ubora wake upo juu na bei zake ni mostly affordable ukilinganishwa na competitors wake kama Iphone & Samsung.

Kwasasa Xiaomi wamejipatia umaarufu mkubwa duniani. Na kuna kipindi waliwazidi kimauzo brands nyingine zote kubwa kama iphone na Samsung.

Pia, waweza ku-Google ili uverify nisemayo.
 
Redmi 9A ni 230,000 mpya kabisa
Hivyo mnunuaji aangalie na muuzaji apunguze bei iwe hata 150
Ume-overlook mambo mengi linganisha specifications, model nyingi zenye "A" zinamisss some important issues. Chimba zaidi.

Na bei sio lazima ibaki hiyo. Ikipata serious customer anaweza punguziwa pia. It's not a law.
 
Unawaibia watu hicho kisimu hakiwezi uzwa hiyo bei
 
Kwa wale wanaouliza Xiaomi zinatengenezwa nchi gani?

Jibu: Zinatengenezwa China but ubora wake upo juu na bei zake ni mostly affordable ukilinganishwa na competitors wake kama Iphone & Samsung.

Kwasasa Xiaomi wamejipatia umaarufu mkubwa duniani. Na kuna kipindi waliwazidi kimauzo brands nyingine zote kubwa kama iphone na Samsung.

Pia, waweza ku-Google ili uverify nisemayo.
Nimechukua Xiaomi 11T Pro, aisee iko poa sana. Very classic.
 
Back
Top Bottom