Bado ipo, call: +255 658 700 510Ishauzwa hii?
Karibu!Inapendeza
Tunajipanga hapa ngoja sikukuu zipite hizi mzee mwenzanguKaribu!
Ume-overlook mambo mengi linganisha specifications, model nyingi zenye "A" zinamisss some important issues. Chimba zaidi.Redmi 9A ni 230,000 mpya kabisa
Hivyo mnunuaji aangalie na muuzaji apunguze bei iwe hata 150
Unawaibia watu hicho kisimu hakiwezi uzwa hiyo beiUme-overlook mambo mengi linganisha specifications, model nyingi zenye "A" zinamisss some important issues. Chimba zaidi.
Na bei sio lazima ibaki hiyo. Ikipata serious customer anaweza punguziwa pia. It's not a law.
Acha wivu ndugu, ngoja nikusamehe bure.Unawaibia watu hicho kisimu hakiwezi uzwa hiyo bei
Wivu wa wapi, unataka ibia watu. Hicho kisimu used bora mtu aongeze 11,000 apate brand new 9AAcha wivu ndugu, ngoja nikusamehe bure.
Sitakujibu tena ndugu. Ila wivu ni kidonda.Wivu wa wapi, unataka ibia watu. Hicho kisimu used bora mtu aongeze 11,000 apate brand new 9A
Sawa!Hiyo simu kwa 200k ni wizi
Nimechukua Xiaomi 11T Pro, aisee iko poa sana. Very classic.Kwa wale wanaouliza Xiaomi zinatengenezwa nchi gani?
Jibu: Zinatengenezwa China but ubora wake upo juu na bei zake ni mostly affordable ukilinganishwa na competitors wake kama Iphone & Samsung.
Kwasasa Xiaomi wamejipatia umaarufu mkubwa duniani. Na kuna kipindi waliwazidi kimauzo brands nyingine zote kubwa kama iphone na Samsung.
Pia, waweza ku-Google ili uverify nisemayo.