Tako la......Aisee, inaitwa harrier ..... La nyani[emoji3] [emoji3]
[emoji30] hivi inaitwa hivyo kweli? Au mleta offer kaamua tu kuipa hiyo aka.[emoji3]Tako la......
[emoji30] hivi inaitwa hivyo kweli? Au mleta offer kaamua tu kuipa hiyo aka.[emoji3]
Tobaa, haya poa mkuu[emoji3] [emoji3] ,Gari zuri hivo kuliita majina ya hivo mmhNdio wanaita hivo zipo hizo tako la nyani na model nyingine tena huyo katumia tafsida wengine wanaita mk*nd wa nyani[emoji85][emoji85]
*soma hii tafadhal sana ina umuhimu sana*
Hii hariier tako la nyan au new model
Cc 2400
Four cylinderView attachment 924539
Nipe 13m tu
Ingine imenock
Dukan wanauza 3m
So utakhwa umenunua 16m
*Ukitoa 3m kabla unafungiwa ingine unatest chombo unamalizia iliyobak*
Hii ni offer ya november
Apo moshi usiende kizembe bwana alaah
Ipo 10m kama hutojali
[emoji30] hivi inaitwa hivyo kweli? Au mleta offer kaamua tu kuipa hiyo aka.[emoji3]
Duuh,haya nimeelewa sasa 😀😀, hao nyani maungo yao yamekaa vibaya lkn