vaxromeo91
Senior Member
- Sep 16, 2015
- 154
- 74
- Thread starter
-
- #121
Kazuri.
Gharama ya nyumba hizo kila kitu ni shingapi nje na kiwanja
Kazi nzuri, tuendelee kupambana
[emoji119][emoji91]Madirisha hayo yalivo makubwa ni mazuri sana [emoji119][emoji119] kumbuka 6x6 ni around 350K
[emoji120][emoji120]Sawa mkuu
Jackson??Natoa ofa ya wikiendi, hii ramani ya vyumba vitatu kwa 20k. KaribuniView attachment 2975220View attachment 2975219