Habari wanajamii. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Je, unahitaji website au blog kwaajili ya biashara yako?
Mimi ni nani?
Web systems developer nlie na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika utengezaji wa websites zenye muonekano mzuri yaan UI design (swiftUI and UI for mobile).
Development
Front-end ( HTML, CSS, JavaScript, vue.js)
Back-end( PHP, Node.js, JavaScript, Angular.js for serverless systems)
Njoo nkucustomizie website yako yoyote kwa tano tu!
- e-commerce website
- blog
[*]web systems with API integration, email, phone verification.
[*]n.k chochote ukipendacho Ila isiwe na payment intergration
Note: sio mtaalamu sana wakubonga fanya kazi na Mimi ujionee uchawi wakizungu.
Nichek
0624179801