Wakuu
Ninegependa kupata office applications kwa ajili ya simu yangu ya mkononi
I currently use a nokia n81 8Gband would wish to work with or be able to open office application files like Word, Excel, PPt. It however has Adobe Pdf.
Kingine ni kwamba nataka kujua kama inawezakana nikaitumia simu hii kuconnect to the internet na nikapata display on my laptop ambayo iko offline? how can this be achieved?
Please assist
Nenda google,alafu search gsmhosting, kisha jisajili kwenye hii website.utapa software zote. Kwa kutumia nokia pc suite nirahisi kutumia simu yako kama moderm.Install hii software kwenye kompyuta alafu fuata maelekezo.
Kuhusu office application, tafazali soma read me file after download, direct link http://wap.z51.biz/wapz51v3/dl.aspx?file_id=29326 inakubidi ujue ku-sign apps au waone devlopers wakusaidie ku-sign. This is zip file you need unzip in ur fone
Thanx mkuu
ila nimeshindwa kusign. How do i do that?