Office assets for sale

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Ofisi ilikua inatumika kwa kazi 1 tu kudownload PESA wazee wa FOREX tunaelewa hayo mavitu yalivyo eeh.

OFISI ina COMPUTER mpya (not refurbished) ni BRAND NEW desktop PC (HP BRAND 6TH GEN ALL IN ONE) zipo mbili. Each PC Bei yake ni 700,000

Viti Vitatu kwenye picha hapo hicho Kirefu ni 100k vidogo 70k kwa kimoja.

Meza 120,000.

NEW Mini Fridge Brand Hisence 200k

Mahali Vilipo : UBUNGO KIBO

Mawasiliano : PM


Your browser is not able to display this video.


UPDATES :

Shukrani kwa walionifata PM na Shukrani kwa wote walioniamini katika hili na kuonyesha nia.

VITU vyote vimeuzika JANA Date 26th Aug Hakuna kilichobaki.

Nyumba imebaki nyeupe haina chochote.

Labda mtu atakae hitaji nyumba kwa ajili ya Matumizi yake Binafsi anakaribishwa.

KODI imebaki ya miezi 8, badala ya 500k kwa mwezi Utalipia 400k kwa mwezi kwa miezi 8 iliyobaki, Baada ya miezi 8 kuisha Utaendelea na utaratbu wa Mwenye Nyumba kulipia 500k kwa mwezi.

Ahsanteni.
 
Ofisi ipo eneo Gani? Ukubwa wa ofisi mtu akitaka kuchukuwa na hiyo ofisi na vitu vyake?
 
Ofisi ipo eneo Gani? Ukubwa wa ofisi mtu akitaka kuchukuwa na hiyo ofisi na vitu vyake?
Ofisi ni nyumba ya Kupanga

Room Mbili 1 master
Public Toilet ndani
Jiko Ndani
Feni All Rooms
Classic House 97%
KODI 500k kwa Mwezi

Nyumba imeshalipiwa KODI ya Mwaka mzima bado miezi 8 imebaki.

Ukija utarudsha miezi 8 ilobaki kwa Bei ya 400k kwa mwezi.

Karibu Mkuu.
 
Mbona mmekata tamaa mapema sana? Sasa mmekubaliana nasi kwamba hamna hela ya ku downlodiwa
Hamna Mkuu mambo tu yameingiliana,

Unaweza pata picha Hizi Loss zimedumu kwa zaidi ya Miezi sasa



Unaamua tu uondoe Vijana wote uuze kila kilichopo hela yako ufanyie mambo mengine.
 
Nimemtumia msg.
Mfuate PM ni humble man hana shida, JF tunamtambua ni mtu mhimu sana ktk jamii kwa elimu yake ya bure anayotuelimisha juu ya biashara pamoja na msaada wa hali na mali ambao amekuwa akiutoa.

Usihofie kumfuata PM hautapigwa na huyo mtu wa watu.
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…